January 21 na 22 2015 zilitoka stori kwenye mitandao na kwenye gazeti kwamba mwigizaji Wema Sepetu kamshitaki Polisi mpenzi wake wa zamani Diamond Platnumz akitaka alipwe pesa zake alizomkopesha.Upande wa Wema Sepetu umeongea ukweli wa kila kitu kwenye hii video hapa chini.
No comments:
Post a Comment