PRINCE ROBERT
karibuni sana wasomaji wa blog hii usikubali kupitwa na habari tanzania na hata nje ya tanzania.
Friday, January 9, 2015
AJALI MBAYA NYOLOLO...
Leo asubuhi niliikuta ajali mbaya nje kidogo ya Nyololo. Basi la Fanuel kutoka Mbeya liligongana uso kwa uso na lori. Watu wanne walifariki dunia.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment