
Mwaka 2008 ilikuwa ni mwaka wa mwisho kwa Akon kutoa album na mkakati wake mwaka huu ni kuachia album tano zitakazobeba jina moja la ‘Stadium’ kwa wakati mmoja ili kuziba pengo la kukaa muda mrefu bila kutoa nyimbo.

Baadhi ya nyimbo zenye vionjo tofauti zitakazokua kwenye albam yake hiyo yenye sehemu tano ni ‘Better’ (feat. Niko the Kid), ‘Just a Man’ (feat. Stephen Marley) na ‘Feeling a Nikka’ (feat. D’Banj).
No comments:
Post a Comment