zikiwa ni picha mbalimbali za mahafali yaliyofanyika katika chuo cha uongozi wa mahakama lushoto, ambapo mgeni rasmi alikua ni mh. angela kairuki (mb) naibu waziri wa katiba na sheria. katika mahafali haya mgeni rasmi aliwatunuku astashahada na stashahada ya sheria, mahafali haya yalifanyika tarehe 5/12/2014
No comments:
Post a Comment