Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali yanayojiri ambapo leo dec 29 Wakazi wa Dar es Salaam wamekumbwa na mafuriko kwenye maeneo mbalimbali.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka maeneo yaliyojaa maji zaidi ya saa mbili kama ambavyo unaona kwenye baadhi ya picha ya juu na hii inayofata hapa chini.
No comments:
Post a Comment