Friday, February 6, 2015

Mabibi na Mabwana Nikki wa Pili ametusogezea hii single mpya aliyowashirikisha wasanii sita

.
.
Rapper kutokea kundi la Weusi, Nikki wa Pili leo Feb 6 ametuletea hii single yake mpya iitwayo SAFARI, humo ndani zimesikika sauti za mastaa wengine sita waliopewa collabo na staa huyo, yumo Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Vanessa Mdee  na jux
Boneyard hapa upate huo Wimbo       http://http//bit.ly/16y5lG1

No comments:

Post a Comment